BBC News Swahili
BBC News Swahili
  • Видео 6 261
  • Просмотров 71 229 530
MATANGAZO YA DIRA YA DUNIA 25:06:24
HII LEO KATIKA DIRA YA DUNIA
01:19 MAANDAMANO KENYA
05:01 WATU KADHA WAUAWA
13:48 MZOZO KATI YA SOMALIA NA ETHIOPIA
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili ruclips.net/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Просмотров: 3 282

Видео

Serikali ya Tanzania yafikia makubaliano na wafanyabiashara.
Просмотров 10 тыс.23 часа назад
Hata baada ya jana serikali kutangaza kufikia makubaliano na wafanyabiashara, taarifa kutoka baadhi ya maeneo hapa Dar es Salaam na mikoa kama Mbeya na Mwanza zinasema wafanyabiashara wamendelea na mgomo. Mwandishi wa BBC Sammy Awami alizungumza na Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Dar es Salaam Riziki Ngaga kupata undani wa madai yao. #bbcswahili #tanzania #kariakoo Subscribe kupata video m...
'Nililala na kuamka nikaamua naacha kuimba'
Просмотров 5432 часа назад
Mwimbaji nguli wa nyimbo za Taarabu kutoka Tanzania, Mzee Yusuf maarufu kama 'Mfalme wa Taarabu' amezungumza na mtangazaji wa BBC Regina Mziwanda na küelezea masuala mbalimbali kuhusu muziki wa taarabu nchini humo tangu aliporejea tena jukwaani takribani miaka minne iliyopita #bbcswahili #burudani #taarab Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili ruclips.net/channe...
Mamia walifariki dunia wakati wa Ibada ya Hajj kwa sababu ya joto
Просмотров 1,5 тыс.9 часов назад
Mamia ya watu wanadhaniwa kufariki kutokana na hali ya joto kuongezeka katika ibada ya Hijja nchini Saudi Arabia. Wale ambao wameangamia wanatoka zaidi nchi ishirini na vifo vingi vilikuwa ni vya mahujaji kutoka Misri. BBC ilitembelea jumuiya moja huko ambayo imepoteza zaidi ya watu 20. #bbcswahili #saudiarabia #hijja Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili rucli...
Vuruga chakula maarufu kaskazini mwa Tanzania
Просмотров 86812 часов назад
Vuruga ni chakula maarufu kwa mikoa ya kanda ya kaskazini nchini Tanzania mjini Moshi mchanyiko huu ni wa kuku wa kienyeji na viazi na huliwa zaidi wakati wa usiku kwenye moja ya barabara maarufu. Omar Ramadhani amekuwa akiandaa chakula hiki kwa zaidi ya miaka 15 na amejijengea jina kubwa sambamba na kuwa na wateja wengi ambapo kwa siku huuza si chini ya kuku 10. Mwandishi wa BBC @eagansalla_gi...
Mikakati ya ulinzi kwa watu wenye ualbino Tanzania
Просмотров 33012 часов назад
“Operesheni hizi zihusishe vikosi vya usalama ili kuhakikisha ulinzi wa watu wenye ualbino dhidi ya mashambulizi na vitisho hii ni kwa sababu katika kuzuia unyanyasaji na mauaji ya watu wenye ualbino, Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa zinawajibika katika usimamizi, ulinzi na utoaji wa huduma kwa watu wenye ualbino,” Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu w...
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
Просмотров 21 тыс.14 часов назад
Eliud Samwel Mwakasege @eliudsamwel ni msanii mahiri wa vichekesho aliyejpatia umaarufu ndani na nje ya Tanzania kupitia sanaa ya uchekeshaji majukwaani na katika mitandao ya kijamii. Mwandishi wa BBC @mcdavid_nkya_ amefanya mazungumzo na @eliudsamwel ambaye pia ameelezea kuhusu simulizi za Farida (Aunty Ramota) ambazo zimempa umaarufu mtandaoni #bbcswahili #tanzania #sanaa Subscribe kupata vid...
'Mitandaoni wanatazama urembo badala ya kazi yangu'
Просмотров 63216 часов назад
'Mitandaoni wanatazama urembo badala ya kazi yangu'
Siku ya Kimataifa ya michezo ya kwanza kuadhimishwa
Просмотров 413День назад
Siku ya Kimataifa ya michezo ya kwanza kuadhimishwa
Utumikishwaji wa watoto Afrika
Просмотров 409День назад
Utumikishwaji wa watoto Afrika
"Sijawahi kutoa wimbo mkubwa kama huu "
Просмотров 869День назад
"Sijawahi kutoa wimbo mkubwa kama huu "
Kukua kwa Tasnia ya uchekeshaji Tanzania
Просмотров 593День назад
Kukua kwa Tasnia ya uchekeshaji Tanzania
'Mnashuhudia ninavyotukanwa'
Просмотров 2,1 тыс.14 дней назад
'Mnashuhudia ninavyotukanwa'
BBC Africa Eye : Vita iliyosahaulika Sudan
Просмотров 2,5 тыс.14 дней назад
BBC Africa Eye : Vita iliyosahaulika Sudan
'Ndani ya saa sita za kuwasiliana, mwanangu alijiua'
Просмотров 49714 дней назад
'Ndani ya saa sita za kuwasiliana, mwanangu alijiua'
Changamoto ya vituo vya gesi katika vyombo vya moto
Просмотров 41814 дней назад
Changamoto ya vituo vya gesi katika vyombo vya moto
Je makubaliano ya Korea Kusini na Afrika yana manufaa gani kwa Afrika?
Просмотров 70014 дней назад
Je makubaliano ya Korea Kusini na Afrika yana manufaa gani kwa Afrika?
Mwanamke anayezamia kupandikiza matumbawe baharini
Просмотров 6 тыс.14 дней назад
Mwanamke anayezamia kupandikiza matumbawe baharini
Mwaka mmoja wa Dira TV Dunia Nairobi
Просмотров 94714 дней назад
Mwaka mmoja wa Dira TV Dunia Nairobi
Urafiki na bundi.
Просмотров 47521 день назад
Urafiki na bundi.
Je Afrika kugawanyika hivi karibuni?
Просмотров 1,9 тыс.21 день назад
Je Afrika kugawanyika hivi karibuni?
'Ligi hii ni kama NBA, si mpira tu kuna muziki, mitindo, tamaduni, watu maarufu'
Просмотров 51621 день назад
'Ligi hii ni kama NBA, si mpira tu kuna muziki, mitindo, tamaduni, watu maarufu'
Athari za bunduki haramu nchini Kenya.
Просмотров 1 тыс.21 день назад
Athari za bunduki haramu nchini Kenya.
Kwanini Uchaguzi wa Afrika Kusini 2024 ni muhimu kuliko zilizopita
Просмотров 1,3 тыс.28 дней назад
Kwanini Uchaguzi wa Afrika Kusini 2024 ni muhimu kuliko zilizopita
Simulizi ya mama anayepambana kumuokoa kijana wake kunyongwa Saudi Arabia
Просмотров 25228 дней назад
Simulizi ya mama anayepambana kumuokoa kijana wake kunyongwa Saudi Arabia
Tazama shule ya kipekee ya mianzi
Просмотров 45228 дней назад
Tazama shule ya kipekee ya mianzi
BBC News Swahili
Просмотров 65828 дней назад
BBC News Swahili
Hati ya kukamatwa kwa viongozi wa Israel na Hamas ina maana gani?
Просмотров 2,3 тыс.Месяц назад
Hati ya kukamatwa kwa viongozi wa Israel na Hamas ina maana gani?
Kipi bora kati ya chai na kahawa?
Просмотров 637Месяц назад
Kipi bora kati ya chai na kahawa?
Jay Melody; Nyota wa Afrika Mashariki anayetamba kwa tungo za mapenzi
Просмотров 6 тыс.Месяц назад
Jay Melody; Nyota wa Afrika Mashariki anayetamba kwa tungo za mapenzi

Комментарии

  • @Digitalhhhhhgfgg
    @Digitalhhhhhgfgg 15 минут назад

    Hakuna makubaliano bado BBC sema ukweli angalia mtangazaji anajificha

  • @Digitalhhhhhgfgg
    @Digitalhhhhhgfgg 17 минут назад

    BBC leo mnashindwa kusema ukweli hali si shwari yaani tushwa mbaya sanaa mmelishwa nini mbona kwa JPM mlikuwa wanazi sanaaa

  • @HannahRichard-ru3rj
    @HannahRichard-ru3rj 55 минут назад

    Kumjua Mungu raha sana❤

  • @Khatib-xp6fp
    @Khatib-xp6fp Час назад

    Wazee wa ndio ni wengi bungeni

  • @JundikiFoodproduction
    @JundikiFoodproduction 2 часа назад

    Hapo kwenye kukadiriwa mauzo ghafi inaumiza, hawaju una losse una wafanyakazi,kodi ya pango, osha, fire, manispa, mishahara,bili za maji umeme nk, malipo ya nssf kwa wafanyakaz gharama za uendeshaji marejesho ya bank nk

    • @mchungajimpigauzitv5703
      @mchungajimpigauzitv5703 Час назад

      Yesu awape loho ya huluma watu pesa za kausha damu ni shda tena halimashauli nazo zina kuwa kausha damu

  • @RoseMwakibete-qx8pw
    @RoseMwakibete-qx8pw 2 часа назад

    Taaa is typing ✍✍

  • @ElizanaBahati
    @ElizanaBahati 4 часа назад

    😂😂😂😂😂

  • @mamlomamlo9064
    @mamlomamlo9064 10 часов назад

    Serekali in ubaguzi inabagua raia zake kuna wanaostahiki kulipakodi na wanaopewa huruma na serekali wasilipe kodi

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 10 часов назад

    Mpaka gari bovu linaandamwa na tre pale mwandege kucha magari yanaparasuwa pale bagamoyo kutwa tre inaparasa madereva dhuluma imezidi

  • @amosmangura
    @amosmangura 11 часов назад

    Mwanza watu wamewekwa ndani 50000 faini 250000 several da ilemela yaani inaumiza yaanu zinauma sana japo nwamelipa basi ukandamizi

  • @MINISTERBAHATIMPUME-px4pf
    @MINISTERBAHATIMPUME-px4pf 11 часов назад

    Eliud una uwezo mkubwa sana, MUNGU akuinue zaidi akulinde pia, usije ukabadilisha ualisia wako

  • @sirajimsuya6226
    @sirajimsuya6226 11 часов назад

    Kinachonikera ni service levy

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 12 часов назад

    Ila Kenya

  • @ev.eliezangiruketv8902
    @ev.eliezangiruketv8902 13 часов назад

    Hongera sana ndugu

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 13 часов назад

    Si kweli kuwa hawa ccm hayo hawayajui kulazimisha kodi huo ndiyo upigaji wao yaani wizi mkubwa kupita kiasi

  • @andreap.assenga8480
    @andreap.assenga8480 13 часов назад

    Hizo sheria mbovu zinaonyesha kwamba rushwa tz haiwezi kuisha kutokana na mfumo mbovu fain ambazo hazilipiki milele

  • @joshuaburton6599
    @joshuaburton6599 13 часов назад

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 13 часов назад

    Hao machinga wengine mitaji yao mikubwa kuliko wanaolipa kodi

  • @hurumalunda2490
    @hurumalunda2490 13 часов назад

    Nisikilizenii watanzania,,TRA sio tatizo. Tatizo no Wawekezaji wa kihindi na kichina ndio wameharibu biashara ,,tunashindwa kusimamia bei kwa sababu Yao wawekezaji Hadi wateja wamekuwa na kiburi..

    • @samirhumud7408
      @samirhumud7408 10 часов назад

      Uwo ni ubaguzi jee wew ukibaguliwa utaridhika?Kwani awo ndio wameweka kodi?Usikurupuke kutoa maoni akili ndogo

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 13 часов назад

    Ulipe City service halafu ulipe malipo ya kuzoa takataka parking .halmashauri wanafanyia nini hizo pesa?

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 13 часов назад

    Ndugu City service inabidi ibakie kwa Impoter au waagizaji wa mizigo viwanda mahoteli any wauzaji huduma siyo maduka ya jumla na rejareja.

  • @mariamshaban4518
    @mariamshaban4518 13 часов назад

    Nyinyi wakinga semeni shida zenu msituchanganye na sisi machinga kama mmegoma rudini kwenu mbea kenge nynyi

    • @karimjuma4019
      @karimjuma4019 12 часов назад

      Akili huna kenge ww

    • @SaimonJohn-fi8tp
      @SaimonJohn-fi8tp 11 часов назад

      we huelewi kitu mamba ww unadhani wamaduka makubwa wakifunga we utanunua wap hizo takataka zako

    • @mariamshaban4518
      @mariamshaban4518 2 часа назад

      @@karimjuma4019 endeleeni kufunga wachawi wakubwa nyinyi mnaacha kufanya biashara muneleta umbea mjini hizo flemu zenu mulizo ficha misukule ndani kama zimewashinda ludini kwenu mbeya kariakoo ni ya kila mtu fisi wakubwa nyinyi

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 13 часов назад

    Safi sana

  • @shivobs4485
    @shivobs4485 14 часов назад

    Sahihi kabisa wanazingua sana

  • @peterandrew4910
    @peterandrew4910 14 часов назад

    Let's try to reduce transactions using cash!

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 14 часов назад

    Serikali inawatengenezea watu njia ya Kula rushwa na kufanya wizi. Kodi nyingi hazifiki serikalini zinaishia mifukoni mwa watumishi wa TRA

  • @user-df7xo5nu9z
    @user-df7xo5nu9z 14 часов назад

    Kweli service levy ya nn nikama kodi ndogo ulipe tra ulipe manispaa kwel

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k 14 часов назад

    Hivi nisawa kitu kimoja kitozwe naTra mara nne, bandalini kitozwe, kwenye duka la jumla kitozwe kikifika kwa wa rejareja kitozwe, ndiyo maana vitu bei.

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k 14 часов назад

    Tanzania ni ya ajabu utakuta.wanayafikia hadi maduka ya mitaani,haya maduka pipi,,ambayo hata mtaji wake haufikii millions mbili,watu wanakamatwa wanachukuliwa hela zao,rushwa imetamaraki

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 14 часов назад

    Umeongea point sana kuchanganya dagaa na samaki ni ngumu kutofautisha harufu zao.

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 14 часов назад

    Huyu jamaa ni kichwa. Serikali msikilizeni vizuri mfanye marekebisho maisha yaendelee

  • @reubenmhagama8164
    @reubenmhagama8164 15 часов назад

    Tozeni Kodi BANDARINI na VIWANDANI Kwa kiasi mtakacho ili bidhaa ikifika mitaani isibugudhiwe iwe ni kuuza tu. mfano mkitoza kilo Moja ya sukari sh. 500 kiwansani iwe imeishia kule huku mitaani ikauzwa 3000 sisi tutajua ni elfu 3.

  • @reubenmhagama8164
    @reubenmhagama8164 15 часов назад

    Kodi itozwe BANDARINI na VIWANDANI Kwa kiasi watakacho ili bidhaa ikifika mitaani izwe bila kugudhiwa hapo migomo hii isingekuwepo kabisa!

  • @salkhaJuliusfashion
    @salkhaJuliusfashion 15 часов назад

    Doctor mm nilitumia misoprost mala ya kwanz damu ilitok kidog na nilikuwa na mimb ya wiki mbili nkatumia ten miso clear ikatok kidogo na bonge la damu je mimb ilitok au bd ipo dct nisaidie apo sielewii

  • @patrickmunishi2277
    @patrickmunishi2277 16 часов назад

    HIZI TAARIFA DODOMA ATUNA. NDIYO TUNAZISIKIA KWENU

  • @zully756
    @zully756 16 часов назад

    Beira msumbiji bandari ipo

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 16 часов назад

    Subili Wana cheza na machinga watahalibu nchi hii

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 16 часов назад

    Dogo umeongea vizizuli sana mwigulu na laisi wa chukue mawazo sofi umesahau osha na kushusha kontena mutu anashusha mzigo aliolipiya nakushusha alipe mbumbu hao dawa ni kuzi chapa j.makamba nape lidhiwani hawajasema sawa

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 17 часов назад

    Umesema vizuli sheliya na sela ya biashara awepo mufanya kazi mukulima mfanyabiashara kama sela inavyasema Sasa machinga halipi Kodi mama lishe halipi Kodi zaidi ya kuchagua Jiji anae taka kujiaajili ajiajili Kwa vitu hivyo vitatu bila hivo ccm mutasambalatika

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 17 часов назад

    UMeongea vizuli sana sana

  • @marwajoseph8060
    @marwajoseph8060 17 часов назад

    Kweli kabisa me nashangaa sana eti asimilia 18 bila hata kuangalia ni faida gani inapatikana

  • @omarnzaro31
    @omarnzaro31 18 часов назад

    Mbona musiandike waandamanaji wauliwa na polisi kenya

  • @omarnzaro31
    @omarnzaro31 18 часов назад

    Hawajavamia waingia Bunge na nyinyi musituvuruge. Andikeni vitu vyakueleweke

  • @polepolelucas
    @polepolelucas 20 часов назад

    Kujieleza kwake tu anaonekana ameiva big up dogo

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 21 час назад

    😂😂😂😂😂😂

  • @dylankanyubi3700
    @dylankanyubi3700 23 часа назад

    Ninatumai kutakuwa na mlipuko mkubwa wa maarifa na teknolojia mpya zitakazoandaliwa na kubuniwa kutokana na matumizi ya akili mnemba kuanzia Afrika Mashariki. 😉 Pongezi kubwa kwa kongamano hili.

  • @gwakisamwakilema
    @gwakisamwakilema 23 часа назад

    Ninachofurahia ni kuitambua Neema ya Mungu maishani, unyenyekevu na Lugha ya upendo.

  • @Humati
    @Humati День назад

    Hao warusi mbona Nao watakua mabepari.

  • @luluray2115
    @luluray2115 День назад

    Hii interview nimecheka sana mwanzo mwisho

  • @luluray2115
    @luluray2115 День назад

    Hongera sana kaka